O novo aplicativo da Alison já está disponível para iOS e Android! Baixe Agora

Descrição

Sehemu hii ya rasilimali ina 'infographics' kutoka kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) juu ya mazoea ya kunawa mikono na jinsi ya kuwalinda wengine kutokana na kuambukizwa na ugonjwa unaotokana na virusi vya corona. Pia utapata rasilimali zinazoonyesha miongozo juu ya usalama wa chakula, ununuzi au kufanya kazi katika 'wet markets' , na jinsi ya kujiepukisha kuambukizwa wakati wa kusafiri.

Back to ModulesBack to Resources